R/ Tunaleta matoleo yetu
Kwako e bwana (Uyapokeye)
Uyapokeye (Yakupendeze)
Yakupendeze, E Bwana Mungu
Vile ulivyopendezwa
Na sadaka yake mze Munzihirwa
1. Mkate na divayi Uvipokeye
Viwe kwetu chakula
(Na) kinywaji cha roho
(Ewe Bwana wetu)
Usifiwe Mungu wetu milele
2. Na wakristu wote Wajitoleye
Na kuishi shahidi
(Wa)piganiye wanyonge
Kama vile Muhudumu Kristofor
3. Makabila zote Tunazileta
Uzifanye ziishi
(Kwa) umoja na mapendo
(Ewe Bwana wetu)
Vile alivyotaka Munzihirwa
4. Na watoto wetu Uwapokeye
Uwajaze juhudi
(wa) piganiye amani
(Ewe Bwana wetu)
Waufwate mfano wake Kristofor
5. Viongozi wetu Tunawaleta
Wapatiye hekima
(kwa) upendo waijenge
(Ewe Bwana wetu)
Hii inchi yake Mze Munzihirwa