FAMILIA TAKATIFU
Auteur : Basil Lukando
Usage : Noël,

FAMILIA TAKATIFU

R/ Familia takatifu ni iile 
Ya kumupendeza Mungu
Ni familia inayo dumu 
katika pendo la Mungu 

Familia takatifu ni imara,
inajaa amani tele 
na baraka za mwenyezi Mungu

1. Familia takatifu daima 
huaguwa nakutenda 
yaliyo mema
r/kama vile familia 
ya mama Maria na Yozefu 
na Bwana Yesu.

2. Familia iliyo takatifu 
ni daima inakuwa 
ni ya mapendo 
r/kama vile familia 
ya mama Maria na Yozefu 
na Bwana Yesu.

3. Familia takatifu daima 
shetani hataweza 
kuivuruga 
r/kama vile familia 
ya mama Maria na Yozefu 
na Bwana Yesu.

 4. Familia takatifu daima 
huamini kuwa ndiyo 
kimbiliyo 
r/kama vile familia 
ya mama Maria na Yozefu 
na Bwana Yesu.

Partition

Télécharger la partition

Audio