TUMWIMBIYE BWANA
Auteur : Marius Nshombo
Usage : Pâques, Méditation, Action de grâce,

TUMWIMBIYE BWANA

R/ Tumwimbiye Bwana
Bwana wa ushindi
Tumwimbiye Bwana
Ushindi wake ni wa ajabu
(Bwana wa ushindi
Bwana wa ajabu)

1. Nitamwimba Bwana
Bwana wa ushindi
Ametupa majini
Farasi na wapanda farasi

2. Nguvu yangu kwake
Kwake wimbo wangu
Yeye ndiye mwokozi
na Mungu nitamusherekeya

3. Nitasifu Mungu
Mungu wa babangu
Kila vita ni yeye
Ushindi jina lake ni Bwana

4. Gari za Farao
Jeshi la Farao
Vyote amevitupa
majini vimetupwa majini

Partition

Télécharger la partition

Audio