
1. Maisha yangu yote Nakutolea wewe Mungu wangu Bwana Unipokeye kwako R/ Bwana maisha yangu mimi Nampa Bwana. MAISHA yangu yote Nampa Bwana, Nilivyo navyo vyote Ni maliya Bwana. Maisha yangu yote Nampa Bwana 2. Ujana wangu mimi, Uliyonipa wewe, Najitolea kwako, Kutumikia wewe 3. Nime amua mimi Nanyumba yote, Kutumikia Mungu Milele yote Bwana.