
R/ Furaha kubwa, Nikipeleka enjili Kwao ndugu zangu 1. Uki itiwa Uje Mbele ya Mungu Uje Fika upesi Uje Shambani mwake Uje 2. Uta tumiwa Nenda Uhihubiri Nenda Habari njema Nenda Duniani kote Nenda 3. Maisha yako Toa Kwa Mungu wako Toa Yeye mwenyewe Toa Ataku lipa Toa 4. Shukuru Mungu Amen Kwa kila jambo Amen Maisha yako Amen Iwe sadaka Amen