
R/ Tunaleka kwako baba Matoleo yetu, Baba upokee Baba mwemba ukubali Matoleo yetu, Baba upokee Pokea e Baba, pokea sadaka Yasi wana wako 1. Mkate na divai ni mazao ya mashamba yetu Upokee 2. Nazo feza za mifuko yetu tunaleta kwako Upokee 3. Yote mali yako ikupendeze e Baba mwema Upokee 4. Sadaka zetu ni shukrani kwako e Baba mwema Upokee