TUNAKUJA NA SADAKA
Auteur : Alain Mukobya
Usage : Offertoire,

TUNAKUJA NA SADAKA

R/ Tunakuja na sadaka 
yetu kwako
Uipokeye Baba sadaka 
ya wana wako wanaleta 
altareni (Baba)

1. M_kate na divai 
pokea Baba
Zawadi yetu bora pokea
Ukubali kwigeuza Baba
Iwe mwili na damu yako
Bwana Yesu Kristu

2. Mazao ya mashamba 
pokea Baba
Matunda ya kazi zetu pokea
Ukubali kuyabariki Baba
Yote ni mali yatoka 
Kwako e Baba

3. Maisha yetu nayo 
pokea Baba, 
twaitoleya kwako pokea , 
ukubali kuibariki Baba, 
kwa wema wako 
na huruma yako Baba.

4. Parokia yetu nayo 
pokea Baba, 
twaitolea kwako pokea , 
ukubali kuibariki Baba, 
iwe na fasi ya
Umoja na mapendo.

5. Mapadri wetu nawo 
poke Baba, 
twa watolea kwako pokea 
ukubali kuwabariki Baba, 
uwajaze tena
ngu ndani mwao.

6. Na kwaya yetu hii 
pokea Baba, 
kikundi yetu bora pokea , 
ukubali kuibariki Baba, 
uijaze tena nguvu
yako Baba.

Partition

Télécharger la partition

Audio