
Moyo wangu msifuni Bwana Na roho yangu imtukuze 1. Ameangaliya udogo wangu Vizazi vyote vitanitukuza Amenitendea maajabu Amenitendea mambo mengi Yeye ni mtakatifu. 2. Wema wake umepelelezwa Kwa wale wote wenyi kumheshimu Kwa nguvu yote ya mkono wake Kwa nguvu yake ametawala Wenyi kujivuna 3. Amewashusha wakubwa chini Amewapandisha watu wapole Wenyi njaa amewapa mali Wenyi mali amewarudisha Mikono mitupu 4. Akikumbuka huruma yake Akaisaidiya Israeli Alivyomwambiya Ibrahimu Amemwaganisha Ibrahimu Na uzaowake