
R/ Mama Maria, Tufanane nawe Tuwe kama wewe Maria Uwe mfano wetu Maria 1. Mama mtakatifu, Mama bila zambi Sisi ni wakosefu tuna zambi tele Sisi ni wachafu sana ututakase r/ Yo Maria 2. Mama mpendelevu bila uchaguzi Sisi tuna chuki ndani nyoyo zetu Utupe mapendo mama kwa watu wote r/ Yo Maria 3. Mama mnyenyekevu, mwenye kujishusha Tuna kiburi tena tuna majivuno Sisi ni wafarisayo utuombeye r/ Yo Maria