Auteur :
Fabrice Kitumaini
Usage :
Prière Universelle, Mariage,
R/ Tunakuomba e Bwana
Usikilize maombi yetu
Tunakuomba ee Bwana
Usikilize maombi yetu
1. Tunakutolea ee Bwana,
Ekleziya yetu katolika
Bwana yesu uiongoze
Iendeleye kuitangaza
Habari njema dunia kote
Tunakuomba ee Bwana
Tunakuomba ee Bwana
Utusikilize
2.Tuombeye kaka na dada
Kwa ndowa yao takatifu
Bwana Yesu uwape mapendo
Uwape na uvumilivu
Uwape na masikilizano
Mpaka kifo kiwatenganishe
Tunakuomba ee Bwana
Utusikilize
3.Twaombeya wazazi wao
Kwa kuwachunga tangu utoto
Bwana Yesu uwape juhudi
Waendeleye kuwa shauri
Katika njia yake Kristu
Tunakuomba ee Bwana
Utusikilize.
4.Tuombeye mkutano huu
Hasa vijana waliyo hapa
Bwana Yesu uwape nguvu
Ili washinde vishawishi
Na siku moja wafunge ndoa
Katika njia yake Kristu
Tunakuomba ee Bwana
Utusikilize.