R/ Haulalaki Bwana, Haushindwaki na kitu. Mungu wa vyote Bwana. 1. Ninapo omba wanipa, Ninapo enda mbali wewe wanichunga. Usifiwe milele milele yote Bwana. 2. Adui zangu ee Bwana, Wananizunguka wakinichongeya uongo. Usiniache mikononi mwao Bwana.