NENDENI DUNIANI KOTE
Auteur : Casimiri Niyibizi
Usage : Sortie, Mission, Engagement,

NENDENI DUNIANI KOTE

R/Nendeni Nendeni 
duniani kote 
Mkapashe habari njema 
Muwe mwangaza 
muwe cunvi ya dunia

1. Nendeni mukawafanye 
mataifa kuwa 
Wafwasi wangu 
asema bwana nendeni, 
Nami ni pamoja 
nanyi siku zote

2. Nendeni mukatangaze 
yale muliyo yapokea,
Muwe mwangaza nendeni, 
Nami ni pamoja 
nanyi siku zote

3. Nendeni muwe mfano 
kwa matendo yenu mema, 
Muwabariki wanao 
wapokea, nendeni, 
nami ni pamoja 
nanyi siku zote

4. Nendeni mukawapende 
adui zenu,
Muwaombeye wanao 
wazulumu nendeni, 
Nami ni pamoja 
nanyi siku zote

Partition

Télécharger la partition