
R/ E moyo wangu Ee moyo wangu Unamsi, Unamsifu Bwana E e moyo wangu Unamsifu Bwana 1. Roho yangu Inafurahiwa na Mungu wangu Jina lake takatifu Ee moyo wangu Amenikumbuka oh mimi mutumishi wake Tangu sasa Vizazi vyote Wataniita mwenye heri E moyo wangu Amesambaza wale wote wanaojivuna Katika nyoyo zao. E moyo wangu. 2. Amewashusha Wenyi cheo katika viti vyao Amewapandisha wadogo E moyo wangu Amewashibisha wenyi njaa Na vitu vyema Na wenyi mali Amewaondosha Mikono mitupu E moyo wangu 3. Amesaidiya Mtumishi wake Israeli Na wenye mali Amewaondosha mikono mitupu E moyo wangu 4. Bwana wa maajabu Amenitendea makubwa Bwana yu ni mwema Amenitendea makubwa Bwana wahuruma Amenitendea makubwa Bwana wa mapendo Amenitendea makubwa Mapendo gani Amenitendea makubwa.