
R/ Njoo Bwana, njoo Njoo Bwana, njoo, utuokoe 1. Twakungoja Bwana Usikawiye tena. Njoo utuleteye Wokovu wako Njoo kwetu! 2. Twakungoja Bwana Usikawiye tena. Njoo utuopoe Utumwani mwa zambi Njoo kwetu! 3. Twakungoja Bwana Usikawiye tena. Njoo utufundishe Mapendo kamili. Njoo kwetu ! 4. Twakungoja Bwana Usikawiye tena. Njoo uwafariji Wanyonge na maskini Njoo kwetu ! 5. Twakungoja Bwana Usikawiye tena. 5.Njoo utujulishe njia ya mbingu Njoo kwetu ! 6. Twakungoja Bwana Usikawiye tena. Njoo utushibishe Kwa wema wako Njoo kwetu ! 7. Twakungoja Bwana Usikawiye tena. Njoo utuonyeshe Huruma yako Njoo kwetu ! 8. Twakungoja Bwana Usikawiye tena Njoo utujalie Amani na heri Njoo kwetu !