
1. Umeniamusha muzima, Umenipa utukufu wako, e Mungu wangu Sasa nitakupa nini Bwana Pokea mazao ya shamba langu 2. Kazi naomba wanipatia, vyote naomba wanipatia si vya kulipa. Sasa nitakupa nini Bwana Nikupe mazao ya shamba langu. 3. Umemtupa Mwana wako Yesu Awe malipo ya zambi zetu, Upendo gani? Sasa nitakupa nini Bwana Pokea shukrani ya waana wako.