MILANGO ZETU
Auteur : Germain Lunanga
Usage : Entrée,

MILANGO ZETU

1. Milango zetu zimefunguliwa
Tuingiye sasa nyumbani mwa Baba
Maongezi yote tuacheni inje
Ni wakati sasa wa kusali

R/ Wa baba na wa mama
Na wazee na watoto
Ingieni sasa nyumbani 
Mwake Bwana Mungu
Imbeni furaha furaha furaha

2. Si lazima tu kusikiya wimbi
Lakini kuyafwata na kusikiliza
Maneno yote imesemwa amo
Tuzishike na tuyatimize

Partition

Télécharger la partition

Audio