
1.Wale wa majusi waliona nyota iki elekea kwenda Bethlehemu, kumbe Bethkehemu ndiko amezaliwa Kristu mukombozi wa dunia nzima R/ Tuimbe noeli Kristu amezaliwa Noël Noël Noël gloria 2. Mama Maria, baba Yozefu walikosanyumba uko bethlehemu wakaingiya zizini mwa ngombe ndimo walimzaa Masiya Yesu.