KARAMU YAKO BWANA
Auteur : Ambroise Kahumba
Usage : Eucharistie,

KARAMU YAKO BWANA

R/ Karamu yako Bwana
Yatukusanya katika umoja
Na mapendo

1. Unatualika Bwana
Kula mwili wako
Na hivi tupate uzima

2. Unatualika Bwana, 
Kunywa damu yako 
Na hivi tupate uzima

3. Ukitupa hivi Bwana
Mwili, damu yako
Unakaa nasi daima

4. Kama basi Mungu nasi
Wabaki daima
Watuongezea imani

5. Unatuletea Bwana
Nguvu nyingi sana
Tupate kushinda adui

6. Unatukusanya pia
Katika furaha
Furaha ya wapenzi wako

7. Sifa kwa Baba na Mwana
Na Roho mtukufu
Mwanzo sasa kesho daima

Partition

Télécharger la partition

Audio