
R/ Siku Nyota ya asubui itaangaa siku nitajazwa na sifa yake Bwana Siku machozi yangu yatakauka Siku hiyo nitamuona Mungu wangu Siku hiyo nitamuona Mungu wangu 1. Yesu Kristu uliye shinda kifo Moyo wangu, Unamtafuta Mungu mzima Siku hiyo nitaona sura yake Siku hiyo nitaona sura yake 2. Yesu Kristu, uliye shinda kifo Ni weewe Furaha ya maisha yangu katika njiya ya mbingu nipeleke katika njiya ya mbingu nipeleke 3. Yesu Kristu,uliye shinda kifo Siku baba Ataniita juu mbinguni Kicheko chako ee Bwana kinijae Kicheko chako ee Bwana kinijae