
R/ Enyi wakristu wapenzi Njooni Bwana anatualika Kwenye karamu Kwanza ndugu tazama Meza yake inavyopendeza (Yeye) Bwana na wateule wameizunguka meza yake Haya ndugu simama Nawe ushiriki 1. Njoni Bwana atuita Meza yake sasa itayari Haya simama Nenda nawe ushiriki 2. Kama wewe wastahili Fanya hima ukampokee Ndicho chakula Chenye uzima milele 3. Yeye anilaye mimi Atakuwa na uzima mpya Siku ya mwisho Mimi nitamfufua 4. Yeye katuandalia Masikini pia matajiri Ukarimu gani Bwana Yesu alionao