
R/ Sasa latimiya sasa latimiya agano alilosema tangu kale sasa latimiya 1. Usiku kati nasikiya Sauti toka mbali sana, Malaika waja waja wakiimba, Sasa latimiya, 2. Wachunga mulio bondeni Njooni wote kwa haraka Kitoto maskini Chalazwa nyasini Sasa latimiya. 3. Maria akimufunika Yosefu akimchungulia Kwa mashangao wote Wote wakiimba Sasa latimiya 4. Wa kwanza kwenda kumwabudu Majusi walitoka mbali Alama ya nyota Ilitangulia Sasa latimiya.