
INTRO (Amezaliwa a) Mwokozi (Amezaliwa a) Betlehemu Muje wote muje Tumwabudu Bwana 1. Nabii Mika alimwagua E Betlehemu Muji wa Efrata Kwako kutatokeya mtawala wa Israeli REFRAIN (Amezaliwa kwetu ) Yesu Masiya (Tuimbe na furaha) Aleluya Noël Noël amezaliwa Noël aleluya (Noël Noël) Noël amezaliwa (Mwokozi wetu) Noël aleluya 2. Masiya yule mfalme w’amani Amekuja kwetu Mungu wapendo Yeye Atalichunga taifa La Israeli 3. Mipaka yote ya_ dunia Imeona kweli Wokovu wa Mungu Mkono Wa kuume wake Bwana umejikuza