ROZARYO NI SILAHA
Auteur : Moïse Cifende, Marius Nshombo
Usage : Vierge Marie,

ROZARYO NI SILAHA

R/ Rozaryo ni silaha ya ajabu 
Inayo mshinda adui 
Rozaryo ni ya watu wa amani 
Upendo na tumaini

1. Mama Alisema tusali rozaryo 
Watu waongoke
Waiache zambi
Alisema tusali rozaryo 
Watu waongoke
Tupate amani 
r/ Tusali Rozaryo yake mama 
Tusali rozaryo 
Tuombe Amani iwe kwetu 
Mama tuombeye

2. Eti Tusiwe na woga tuyalete 
Magumu tunayo 
Atayafikisha
Tusiwe na woga tukisali
Shida za maisha
Kristu atajibu
r/ Tusali Rozaryo yake mama 
Tusali rozaryo 
Tuombe Amani iwe kwetu 
Mama tuombeye

3. Ndani ya magnificat mama
anakumbusha 
Utajiri wa unyenyekevu
Wenye kujivuna na wenye
Kiburi watarudi
Mikono mitupu 
r/ Tusali Rozaryo yake mama 
Tusali rozaryo 
Tuombe Amani iwe kwetu 
Mama tuombeye

Partition

Télécharger la partition

Audio