CHUMVI YA DUNIA
Auteur : Dieudonné Matandiko
Usage : Méditation, Mission, Engagement, Sacréments,

CHUMVI YA DUNIA

R/ Nyinyi mupo chumvi 
Ya dunia hii,
Nyinyi mupo nuru 
Ya ulimwengu huu 
Enyi wa fwasi wangu.

1. Chumvi ikiwa imeharibika, 
itatiwa nini wala ikolee
Chakula hakina tena na onjo,
ndivyo Yesu alisema

2. Chumvi ikiwa imeharibika, 
haifai tena kwa kukoleza kitu,
itatupwa nje na kukanyangwa, 
ndivyo Yesu alisema

3. Muji hauwezi kufichama, 
ikiwa umejengwa juu ya mulima,
watu wote watautambuwa, 
ndivo Yesu alisema

4. Watu wa kiwa katika giza 
wana washa taa iwaangazie,
hakuna giza kwenye mwangaza, 
ndivyo yesu alisema.

5. Taa huwashwa kwa kuangaza 
haitiwi chini ya kitanda nyumbani
Ila juu kiango waone
Ndivyo Yesu alisema.

6. Nuru yenu iangazie watu, 
wapate kuyaona 
matendo yenu mema.
Wamtukuze Bab’enu wa mbinguni
Ndivyo Yesu alisema.

Partition

Télécharger la partition