
R/ Leo mwokozi amezaliwa Kwa ajili yetu sisi Ndiye Kristu Mwokozi 1. Muimbiyeni Bwana wimbo mpya Muimbiyeni Bwana inchi zote Mwimbeni na musifu jina lake Mwimbiyeni Bwana wimbo mpya Mwimbe na mulisifu jina lake Mwimbeni Bwana Mwimbeni Bwana 2. Siku kwa siku utangazeni Na utangazeni wokovu wake Uelezeni utukufu wake Elezeni kwa mataifa Yaelezeni kwa kabila zote Upeleleze wokovu wake 3. Mbingu nazo zimufurahiye Nayo dunia imushangiliye Maji na vilivyomo vingurume Mashamba nayo yachangamke Vilivyomo vyote vichangamuke Miti ya pori na yafurahi 4. Mshangilieni Bwana kwa kuwa Anakuja kuhukumu dunia Mshangilieni kwani anakuja kwa kuihukumu dunia Atahukum'ulimwengu kwa haki Atahukumu katika haki