TUMSIFU BWANA ANAPONYA
Auteur : Marius Nshombo
Usage : Jeudi Saint, Sacréments, Psaume 115,

TUMSIFU BWANA ANAPONYA

R/ Tumsifu Bwana ni yeye anatunza 
Tumsifu Bwana ni yeye anatuponya 

1. Kumsifu Mungu wetu ni kuzuri sana 
Ni heri kumuimbiya nyimbo za shangwe 
Anawatunza wenyi kuvunjika moyo 
Anabandika dawa kwa vidonda vyao 

2. Anahesabu nyota zilizo angani
Anaita kila moja kwa jina lake
Ni mkubwa sana mwenye 
   nguvu bwana wetu
Hekima yake haiwezi kupimiwa

3. Wanyenyekevu Bwana anawapandisha
Anashusha mpaka chini wenye maovu
Tumuimbiye nyimbo za kumushukuru
Tumshangiliye Mungu wetu kwa kinubi

Partition

Télécharger la partition