
R/ Familia takatifu ni iile Ya kumupendeza Mungu Ni familia inayo dumu katika pendo la Mungu Familia takatifu ni imara, inajaa amani tele na baraka za mwenyezi Mungu 1. Familia takatifu daima huaguwa nakutenda yaliyo mema r/kama vile familia ya mama Maria na Yozefu na Bwana Yesu. 2. Familia iliyo takatifu ni daima inakuwa ni ya mapendo r/kama vile familia ya mama Maria na Yozefu na Bwana Yesu. 3. Familia takatifu daima shetani hataweza kuivuruga r/kama vile familia ya mama Maria na Yozefu na Bwana Yesu. 4. Familia takatifu daima huamini kuwa ndiyo kimbiliyo r/kama vile familia ya mama Maria na Yozefu na Bwana Yesu.