NITAKUPA NINI
Auteur : Sifa Bashombana
Usage : Méditation, Action de grâce, Engagement,

NITAKUPA NINI

1. Nitakupa nini Bwana 
Kwa yote umenitendea
Nataka mimi ni kuimbe 
Na leo mpaka nitakufa
Uniache nikuimbe 
Na leo mpaka nitakufa
Nitaimba sifa zako 
Nitaimba sifa zako

R/ (Bwana) Usifiwe Bwana
Usifiwe Bwana
Dunia yote ikusifu

2. Mimi sina mali mingi 
Mimi si kitu mbele yako
Lakini nitakuimbiya 
Sauti ulinipatiya
Uiache ikuimbe 
Sauti ulinipatiya 
Itaimba sifa zako 
Itaimba sifa zako

3. Ninaishi tu kwa neema 
Mabaya mimi nilitenda
Siwezi kukusogeleya 
Lakini wewe kwa rehema
Waniacha nikuimbe 
Kuona umenisamehe
Nitaimba sifa zako 
Nitaimba sifa zako

Partition

Télécharger la partition

Audio