
0. Njooni wote Twingie mwake Bwana, Matendo yake ni ya ajabu. Dunia yote ikuabuduye Bwana, karibu naye nguvu tele. R/ (Njoni ndugu) Tuingie wote na furaha, Tumusifu Kwa nyimbo za shangwe. Wema wake umilele Nyumbani mwake. 1. Mwimbieni Bwana Kwa kuwa ni mtukufu Uwema wake ni wa milele - Enyi inchi zote (tu)kuze ni Mungu kweli Mutoleeni sifa tukufu - 2. Kageuza bahari kuwa inchi kavu Taifa lake lika okoka - Mwimbieni Bwana jina lake tukufu Matendo yake ni ya ajabu - 3. Atawala vema juu ya mataifa Awakanyaga wenyi kiburi - Amezipa roho zetu uzima bora Na mili yetu - nguvu nyingi - 4. Nalimulilia Yeye kwa kinywa changu Anasikia kilio changu - Tena na limsifu kwa ulimi wangu Dunia yote aliiumba