
1. Nitajongea meza yako E Bwana Nitajongea meza yako E bwana Bwana nipokee nakuja R/ Ninakuja kwako E Bwana Nikakupokee E Bwana Kwani wewe ndiwe uzima 2. chakula kina uzima E Bwana Hushibisha wenye njaa E Bwana Bwana nipokee nakuja 3. Kinywaji kina uzima E Bwana Huwaponyesha wenye kiu E Bwana Bwana nipokee nakuja