
R) Mama Maria (Mama) Mama wa Mungu wanao wanakulilia, Mama Maria mzazi wa Yesu Wanao wanakutumainia. 1. Utuombee Mama wa Mungu, Utuombee kwa Yesu Mungu. 2. Utukumbuke Mama wa Mungu, Sisi wanao wapenzi sana. 3. Utusamee Mama wa Mungu, Tusipo ona mapenzi yako. 4. Utupe moyo Mama wa Mungu, Ili tufuate mwanao kristu. 5. Utupokee Mama wa Mungu, Siku yakufa mbinguni huko. 6. Utuonyeshe Mama wa Mungu, Njia yakwenda kwa Yesu Mungu.