BADILISHA MOYO
Auteur : Marius Nshombo
Usage : Carême,

BADILISHA MOYO

R/ Badilisha moyo wako o 
Uamini habari njema 
Badilisha mwenendo wako 
Uamini Mungu anakupenda 
Mungu anakupenda 

1. Yesu alifika 
Si kwa kuhukumu dunia 
Ila ni kwa kuokowa watu 
Hakuja kutembeleya wazima 
Nia yake kuwaponya wagonjwa 
Si kwa ajili ya watu wazuri 
Ila kwa kutosha watu zambini 

2. Yesu alifika 
Si kwa kuhesabu makosa 
Ila kwa sababu tuwe hai 
Alisema yeye ndiye mchungaji 
Mwenye kushurulikiya kondoo 
Alisema atakaye mwamini 
Ataurizi ufalme wa mbingu 

Partition

Télécharger la partition

Audio