BWANA BARIKI MATAWI
Auteur : Serge Mawese
Usage : Rameaux,

BWANA BARIKI MATAWI

INTRO
Bwana bariki matawi yetu, 
Bwana takasa matawi yetu 
(Bwana bariki matawi takasa)

R/ Hazana
Kwa mwana wa Daudi

1. Na matawi mikononi 
Tumchezee Bwana 
Mfalme wa wafalme
 
2. Wote tumushangilie 
Mwakozi wetu 
Mfalme wa wafalme

3. Kwa nyimbo za hozana 
Tumwimbie 
Mfalme wa wafalme 

4. Tumutandikie vitambaa 
Mfalme wa wafalme

Partition

Télécharger la partition