
1. Habari gani wandugu Wa Yerusalemu Wana wake wamesema Yesu amefufuka amefufuka R/ Aleluya aleluya… 2. Habari gani wandugu Wa Yerusalem Na mitume wamesema Yesu amefufuka amefufuka. 3. Habari gani wandugu Wa Yerusalem Sisi kweli twasadiki Yesu amefufuka amefuka