
R/ Amefufuka Katika wafu Njooni wote wandugu E, Njoonitumshangiliye Aleluya Bwana Yesu Amefufuka Kweli yupo muzima 1. Maria Madalena'alienda Kaburini Akakuta malaika wa Bwana (Malaika akamuambiya) Kristu amefufuka 2. Kwa nini Mwamtafufa Yesu Amefufuka Vile kama alivyoeleza Kisha siku tatu 3. Maria Madalena'akarudi Kuwapasha Mitume mambo aliyosikiya Yesu amefufuka