R/ Hozana, Hozana Hozana Hozana Hozana Hozana juu mbinguni ah! 1. Mbarikiwa'anaye kuja, kwa jina lake Bwana Hozana juu mbinguni Hozana juu mbinguni ah! 2. Yerusalem, Yerusalem Mara nyinngi nilipima kukuhubiri Lakini uliuwa wahubiri ah!