Auteur :
Dieudonné Baguma
Usage :
Carême, Rameaux, Vendredi Saint, Psaume 21,
R/ Mungu wangu
Kwanini umeniacha
1. Wote wanaoniona wamenicheka,
Wananicheka nakutikisa kichwa
Alimwamini Bwana naye amuokoe
Amwokoe amwokoe kwani
Anamupenda
2. Kwa maana mbwa wengi
Wamenizunguka,
Kundi la waovu wananisonga
Wamenitoboa mikono na miguu,
Naweza kuhesabu
Mifupa yangu yote
3. Wanagawanya nguo zangu
Kati yao,
Wanaipigia kura kanzu yangu;
Nawe ee Bwana wangu,
Usisimame mbali,
Ewe Bwana msaada wangu
Wewe msaada wangu
4. Nitahubiri ndugu zangu jila lako,
Kati ya mkutano nitakusifu.
Enyi watumishi,
Watumishi wa Bwana.
Watumishi wake Bwana,
Msifuni, msifuni