
R/ Hozana e, hozana e, Hozana kwa mwana wa Daudi 1. Yerusalemu amka, Hozana, Tumshangiliye Bwana, Hozana 2. Yule juu ya mwana punda, Hozana, Ni mfalme wa dunia, Hozana 3. Kwa furaha twamwimbiya, Hozana, Na matawi mikononi, Hozana 4. Wanawake kwa furaha Hozana Wapepaya vitambaa