
R/ Kristu ni mfalme wa mbingu (na dunia) Njoni tumshangilie 1. Yeye ndiye Mwana wa pekee wa Mungu Kweli anastahili sifa 2. Yeye ndiye Mungu kutoka kwa Mungu Kweli anastahili sifa 3. Yeye ndiye mkombozi wa watu wote Kweli anastahili sifa 4. Yeye ndiye mfalme mkuu wa wafalme Kweli anastahili sifa 5. Yeye kwake uwezo na utukufu Kweli anastahili sifa