MATAWI MIKONONI
Auteur : Jeannot Amani Mulume
Usage : Rameaux,

MATAWI MIKONONI

R/ (Matawi mikononi) Tuimbe hozana 
Mbarikiwa ajae kwa jina la Bwana

1. Fungueni milango ya haki 
Aingie mfalme wa sifa

2. Tazameni na mlango wa Bwana 
Ni wanyofu waingiya humo

3. Jipangeni kwa maandamano 
Tumwimbiye Mwana wa Daudi

4. Mikononi tushike matawi 
Asifiwe mfalme wa mbingu

Partition

Télécharger la partition