HOZANA MWANA WA DAUDI
Auteur : Deo Ngoma Basedeke
Usage : Rameaux,

HOZANA MWANA WA DAUDI

R/ Hozana hozana hozana 
Mwana wa Daudi
Hozana mbarikiwa anayekuja 
Anakuja kwa jina la Bwana

1. Tuvitandikeni vikwembe 
(Katika njia) 
Bwana Yesu apite juu

2. Tuyapeperushe matawi 
(Na vitambaa)
Tukimsifu mfalme wa mbingu

3. Anapanda juu ya punda 
(Tumshangilie)
Na tuimbe hozana

4. Tumpigiye vigelegele 
(Na tufurahi)
Sisi wote pamoja

5. Bwana anakuja na sifa 
(Kutuokoa)
Katika utumwa wa  zambi

Partition

Télécharger la partition