YESU ALIKWENDA YERUSALEMU
Auteur : MIREMBE K.
Usage : Rameaux,

YESU ALIKWENDA YERUSALEMU

R/ Hozana, 
Hozana kwa mwana wa Daudi
Mbarikiwa anayekuja
Kwa jina lake bwana

1. Yesu alipanda kwenda Yerusalemu
Ndipo kule atachekelewa
Na kuhukumiwa
Makundi walimpokea
Kwa furaha, wakimwimbiya

2. E Sayuni tazama 
Mfalme wako anakuja
Akiketi juu ya punda

3. Yesu alijuwa yote
Watu hawa wanishangiliya
Lakini roho yao
Iko mbali nami

4. Yerusalem oooo
Mara nyingi nilipenda
Kuwakusanya wana wako
Lakini wewe hukubali
Ukiwauwa waumini

Partition

Télécharger la partition