UNITAKASE NA MAJI
Auteur : Moïse Cifende
Usage : Sacréments,

UNITAKASE NA MAJI

R/ Unitakase na maji yako Bwana 
Nami nitakuwa safi 
Unitakase na maji yako Bwana 
Nipate kuokoka 

1. Zambi zangu e Bwana 
Uzizamishe katika maji mengi 
ya huruma yako 
Zambi zangu e Bwana 
Uzizamishe katika maji mengi 
ya upendo wako

2. Ubaya wangu 
Uvute wote 
Ili niweze kuwa safi 
Ubaya wangu 
Uvute wote 
Ili niweze kukuomba 

3. Maovu yangu 
Uyaondoe Ilinisogeleye 
altare yako 
Maovu yangu 
Uyasamehe Ili niweze 
kukusifu 

4. Akili yangu 
Uifungue 
Ili niweze kufahamu
Akili yangu 
Uifungue 
Ili niweze kuogopa

Partition

Télécharger la partition

Audio