R/ Sifa na utukufu kwako, Bwana Yesu (sifa) Sifa na utukufu kwako, Bwana Yesu 1. Kwa Ajili yetu Kristu amekuwa mtii Mpaka kufa, Hata kufa msalabani. (sifa) 2. Kwa Hiyo Mungu alimtukuza sana Akampa jina Lipitalo jina lolote.