Macho tele na machozi Yahwe Moyo tele na uzuni Yahwe Macho tele na machozi Moyo tele na uzuni Lakini Bwana Wewe ulisema Aombaye atapewa, Bwana Wewe ulisema Atafuta atapata, Bwana Wewe ulisema Sikiliza ombi letu, Bwana Yahwe eh Yahwe