ASILEGEE MOYOWE
Auteur : Populaire Tanzanie
Usage : Carême, Vendredi Saint,

ASILEGEE MOYOWE

1.Asilegee moyowe
Asitoke machozi
Aki mkumbuka Mungu we 
Kwayake makombozi. 
Mtoa roho msalabani 
Mtaka kufa mwenyewe
Kwa sababu kumpenda ni
Nani mfunga moyo we.

2. Bustani mle Getsemani 
Aamwomba Mungu Baba
Je mtu Mungu ana nini 
Nguvu zake ni haba. 
Rabi wanu wazi ona 
Zambi za binadamu 
Mwili wako ume tona 
Kama jasho la damu.

3. Salamu Rabi salamu 
Anena Yuda mbaya (da mbaya) 
Mwenye moyo wake mgumu 
ambusu pasihaya. 
Aliwa ambia basi 
ntakaye mbusu ndiye (su ndi ye) 
mtwaeni na kwa upesi 
Yuda nanini siye

Partition

Télécharger la partition