NAMSADIKIA MUNGU misa ya umoja II
Auteur : Charles Nyenze
Usage : Credo,

NAMSADIKIA MUNGU misa ya umoja II

R/ Namsadikia Mungu Baba Mwenyezi
Muumba wa mbingu na dunia

1. Na Yesu Kristu Mwane wa pekee
Bwana wetu aliyepata mwili
Kwa tendo la Roho Mtakatifu

2. Akazaliwa na Bikira Maria
Akateswa zamani 
Za Ponsio Pilato
Akasulubiwa, akafa, akazikwa

3. Akashuka kuzimuni akafufuka
Katika wafu kisha siku tatu
Akapanda mbinguni

4. anapokaa mkono wa kuume 
Wa Mungu Baba Mwenyezi
Ndipo atarudi kuamua 
Wazima na wafu

5. Namsadikia Roho Mtakatifu
Eklezya Katolika takatifu
Shirika la watatifu

6. Maondoleo ya zambi
Ufufuo wa mwili
Uzima wa milele, Amen 

Partition

Télécharger la partition

Audio