
R/ Msalaba wako Bwana Ni silaha yangu kweli Katika mateso 1. Msalaba wako Umetukomboa katika zambi Ndiyo silaha yangu Popote duniani 2. Msalaba wako Nitauheshimu na kuuabudu Ndiyo silaha yangu Popote duniani 3. Msalaba wako Umetutendea maajabu mengi Ndiyo silaha yangu Popote duniani 4. Msalaba wako Unamufukuza muovu Shetani Ndiyo silaha yangu Popote duniani