BWANA AMEWALISHA NGANO
Auteur : Phanuel Kitonga
Usage : Eucharistie,

BWANA AMEWALISHA NGANO

R/ Bwana amewalisha ngano bora 
Aleluya 
Na awawashibisha na asali 
ya mwambani. 

1. Mshangilieni Mungu 
aliye nguvu yetu 

2. Mpigiyeni shangwe
Mungu wa Yakobo 

3. Mpazeni zaburi 
Na mpigeni ngoma 

4. Mpigeni kinubi 
chenyi mlio mtamu 

Partition

Télécharger la partition

Audio