Auteur :
Potomonyo Muvwaro
Usage :
Mission, Engagement, Sacréments, Mariage,
R/ Nimempata nimpendae
Niliye mtafuta sana
Maishani mwangu mwote
Sitamuacha
1. Mchana usiku nimemtafuta
Yule ninayempenda
Nimempata sitamuacha
2. Nimpendaye ni mali yangu,
Nami ni mali yake
Yeye hulisha kundi lake.
3. Kali yangu nitatangaza
Habari njema yake
Nalazimishwa (ku)tenda hivyo.
4. Mungu wangu na Mwamba wangu
Ninayemkimbilia
Ngao na pembe ya wokovu.
5. Nakupenda wewe Bwana
Uliye nguvu yangu
Kweli ni Wewc (Mwo)kozi î wangu,
6. Ole wangu nisipohubiri
Nisipoitangaza
Habari njema (ya) Bwana Yesu